Genesis 33:1

Yakobo Akutana Na Esau

1 aYakobo akainua macho akamwona Esau akija na watu wake 400, kwa hiyo akawagawanya watoto kati ya Lea, Raheli na wale watumishi wake wawili wa kike.
Copyright information for SwhNEN